Loading...
title : JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI
link : JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI
JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi kuhakikisha wanapima viwanja haraka ili kuufanya mji wa Dodoma uendane na kasi ya ongezeko la idadi ya watu wanaohamia Dodoma na kuufanya mji uliopangwa kwa utaratibu unaoeleweka.
Jafo ameyasema hayo leo katika hafla fupi ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Shule ya Sekondari Iyumbu-Dodoma Mjini,ambapo pia ametumia nafasi hiyo kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wananchi wake na kuahidi kuendelea kumpa ushirikiano katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wake wa Jimbo la Dodoma Mjini.
Mbali na hilo, Jafo ameagiza fedha kiasi cha sh.milioni 10 zilizopo kwenye akaunti ya kata hiyo ambazo zilitakiwa kutumika kupaulia darasa la shule ya sekondari Iyumbu kutumika kujenga madarasa manne.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo akizungumza na wananchi kata ya Iyumbu
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza na wananchi katika kata ya Iyumbu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo akifurahi jambo na Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde
Hivyo makala JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI
yaani makala yote JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/jafo-aagiza-manispaa-dodoma-ipime.html
0 Response to "JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE KWA KUWAJALI WANANCHI"
Post a Comment