Loading...

JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Loading...
JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI
link : JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI

soma pia


JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe,  Pudensiana Protasi akizungumza na waandishi wa habari 

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Jeshi la polisi  mkoani Njombe linamtafuta askari PC Zakayo Doto kwa kosa la kumuua kwa kumpiga risasi askali wa jeshi la wananchi (JWTZ) anayedaiwa kuwa ni mchumba wake kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa majirani wa mtaa wa Jeshini kata ya Makuvani wanasema marehemu Neema Masanja aliyekuwa askari wa Jeshi la Wananchi kikosi cha 514KJ Makambako alipigwa risasi na askari PC Zakayo Doto ambaye anadaiwa kuwa ni mchumba wa marehemu huku sababu zikiwa bado hazijafahamika

Mganga mfawidhi wa hospitali ya mji wa Makambako daktari Kesha Ngunda amekiri kupokea mwili wa marehemu afande Neema Masanja ambao umefikishwa hospitalini hapo kwa ajili ya uchunguzi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Pudensiana Protasi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.


Hivyo makala JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI

yaani makala yote JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/jeshi-la-polisi-mkoani-njombe-linamsaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA MAUAJI"

Post a Comment

Loading...