Loading...
title : JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti
link : JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti
JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti
Na Abubakar Khatib Kisandu
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) leo limetoa ratiba ya awali ya Kombe la Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho barani humo huku wawakilishi wa Zanzibar katika Mashindano hayo kuwajua wapinzani wao ambapo michezo ya awali yote wataanzia nyumbani Zanzibar katika uwanja wa Amaan.
JKU ambao ndio mabingwa watetezi wa Zanzibar wamepangwa kucheza na Zesco United ya Zambia kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa huku Zimamoto ambao ni makamo Bingwa wa Zanzibar watacheza na Wolaitta Dicha ya Ethiopia.
Na kwa upande wa Wawilishi wa Tanzania bara katika Mashindano ya Klabu Bingwa, Yanga watacheza na St Louis ya Shelisheli huku Simba watakipiga na Gendamarie ya Djibouti kwenye kombe la Shirikisho.
Hivyo makala JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti
yaani makala yote JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/jku-kucheza-na-wazambia-zimamoto-na.html
0 Response to "JKU kucheza na wazambia, Zimamoto na Waethiopia, Yanga na Shelisheli na Simba kukutana na waDjibouti"
Post a Comment