Loading...

JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE.

Loading...
JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE.
link : JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE.

soma pia


JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE.



Mwambawahabari
Aliyekuwa  Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera, anatarajiwa kuagwa kesho Jumamosi katika Hospitali ya Jeshi la Lugalo jijini Dar kabla ya kusafirishwa kuelekea  Korogwe, Tanga kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika keshokutwa Jumapili.
Bendera alifariki juzi Jumatano kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kupelekwa akiwa mahututi akitokea katika Hospitali ya Bagamoyo muda mchache kabla ya kuaga dunia.
Kiongozi huyo ambaye pia  ni mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 1980.
Msemaji wa familia ambaye ni mdogo wa marehemu, Allen  Bendera alisema kuwa wanatarajia kuusafirishia mwili wa ndugu yao kesho Jumamosi kuelekea mkoani Tanga baada ya kuagwa kwenye Viwanja vya Hospitali ya Lugalo.
“Kwanza mwili wa marehemu tayari tumeshauhamisha kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kupelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kwa ajili ya kuhifadhiwa kwenye sehemu ya VIP kabla ya siku ya Jumamosi kuagwa na wadau wa michezo na viongozi.
“Lakini tunatarajia kumsafirisha  siku ya Jumamosi kuelekea  Korogwe Tanga kwa ajili ya mazishi ambayo yatafanyika siku ya Jumapili baada ya ibada ya kumuombea itakayofanyika kwenye Kanisa la Mtakatifu Michael,” alisema Bendera.


Hivyo makala JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE.

yaani makala yote JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/joel-bendera-ataagwa-kesho-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JOEL BENDERA ATAAGWA KESHO KATIKA HOSPITALI YA LUGALO NA KUZIKWA JUMAPILI KOROGWE."

Post a Comment

Loading...