Loading...

KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI

Loading...
KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI
link : KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI

soma pia


KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Geita wakikagua eneo ambalo lilipasuka na kupeleka maji ya sumu kwenye maeneo ya mashamba ya wananchi. 
Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola akiangalia baadhi eneo ambalo limepasuka. (PICHA NA JOEL MADUKA)

Ekari 270 za mashamba ya wakulima kwenye kijiji cha Ziwani Kata ya Nyarugusu Wilayani Geita zimeathiriwa na Sumu iliyotoka kwenye Bwawa la kuhifadhia Kemikali lililopasuka kingo zake na maji kusambaa kwenye mashamba hayo.

Hali hiyo imemlazimu Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Bw Kangi Lugola kuitaka kampuni ya Madini ya Nyarugusu inayohusika na suala hilo kuwalipa fidia wananchi 57 ambao mazao yao yameathirika.

Awali Bw Lugola aliagiza muwekezaji huyo akamatwe kutokana na kile alichodai kuwa ni uvunjifu wa sheria za utunzaji wa mazingira mgodini hapo na kwamba uongozi wa mgodi huo ulimzuia Afisa Mazingira wa Wilaya ya Geita Bi Hellen Eustace kutekeleza majukumu yake baada ya kufika mgodini hapo kukagua namna wanavyozingatia utunzaji mazingira

Bw Kangi alisema Mwekezaji haruhusiwi kuendelea na shughuli anazozifanya na kufunga mgodi huo hadi watakapotekeleza mambo waliyoelekezwa

Mkurugenzi wa Nyarugusu Mine Company Bw Fred Masanja amesema kusimamishwa kwa shughuli zao kunaweza kuathiri ytendaji wao kwa kuwa Tani Laki moja na 20 hawataweza kuzizalisha na hivyo watapata hasara ya zaidi ya Sh Milioni 600 hadi 700. Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola akizungumza na wananchi ambao mashamba yao yameathirika kutoka na sumu ambayo imeeharibu mazao yao pamoja na viumbe hai. 



Hivyo makala KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI

yaani makala yote KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kangi-lugola-aitaka-kampuni-ya-madini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI"

Post a Comment

Loading...