Loading...
title : Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars
link : Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars
Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars
Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.
Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye mchezo wa fainali Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar dhidi ya wenyeji Kenya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 09:00 za Alaasiri.
ZANZIBAR HEROES
1. Mohammed Abrahman Mohd (Wawesha) 18
2. Ibrahim Mohd Said (Sangula) 15
3. Mwinyi Haji Ngwali 16
4. Abdulla Salum Kheri (Sebo) 13
5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6. Abdul azizi Makame Hassan (Abui) 21
7. Seif Abdallah Rashid (Karihe) 12
8. Mudathir Yahya Abass 4
9. Ibrahim Hamad Ahmada “Hilika” 17
10. Mohd Issa Juma (Banka) 10
11. Suleiman Kassim Suleiman “Seleembe” 7 (Captain)
AKIBA
1. Ahmed Ali Suleiman (Salula) 1
2. Nassor Mrisho Salim 30
3. Mohd Othman Mmanga 6
4. Adeyum Ahmed Seif 20
5. Ibrahim Abdallah Hamad 2
6. Abdullah Haji Shaibu (Ninja) 5
7. Hamad Mshamata Makame 9
8. Khamis Mussa Makame (Rais) 28
9. Abdul swamad Kassim Ali (Hasgut) 22
10. Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) 3
Hivyo makala Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars
yaani makala yote Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kikosi-cha-zanzibar-heroes.html
0 Response to "Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoanza leo dhidi ya Harambee Stars"
Post a Comment