Loading...
title : Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
link : Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Katibu Mkuu wa Kamisheni ya wakfu na mali ya amana, Sheikh Abdullah Talib, akiwa pamoja na Mhadhiri wa SUZA, Dk Issa Ziddy pamoja na Mufti mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Kabi katika kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa katika kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Sheikh Mohammed Suleiman ( Hibry) nae akichangia wakati wa kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Sheikh Ahmed Hadar Jabir akichangia wakati wa kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Sheikh Khalid Mohammed kutoka kamisheni ya wakfu na mali ya Amana akichangia akichangia wakati wa kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini michango iliyokuwa ikitolewa katika kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Sheikh Ali Hemed Jabir (Aliyaaan) ane akichangia wakati wa kongamano la uzinduzi wa Hijja lililofanyika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni. Kongamano limeandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
Hivyo makala Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking
yaani makala yote Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kongamano-la-uzinduzi-wa-huduma-za.html
0 Response to "Kongamano la Uzinduzi wa Huduma za HIjja lililoandaliwa na PBZ kitengo cha Islamic Banking"
Post a Comment