Loading...

MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

Loading...
MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA
link : MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma.
 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Kampeni ya Uzalendo na Utaifa Kwanza katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-afanya-uzinduzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA"

Post a Comment

Loading...