Loading...
title : MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10
link : MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10
MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari juu ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasimi katika kilele cha siku ya maadili na haki za binadamu Desemba 10 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma.kulia ni Kamishna wa Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold R.Nsekela.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akitembelea mabanda mbalimbli katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma.picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii Dodoma.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-mhsamia-suluhu.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10"
Post a Comment