Loading...

MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA

Loading...
MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA
link : MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA

soma pia


MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA

Wanafunzi wa shule za sekondari manispaa ya iringa kunufaika na elimu ya masomo ya sayansi kutokana na kuandaliwa kambi maalumu kwa ajili ya kuwafindisha kutoka kwa walimu waliobobea katika masomo hayo kwa wanafunzi wa watakao kuwa tayari kupata elimu hiyo.

Ofisi ya mbunge wa viti maalum Ritta Kabati imeandaa mpango wa kuwaongezea elimua wanafunzi wa shule za sekondari manispaa ya Iringa kwa kuanzisha kambi ya masomo ya sanyasi itakayo kuwa inafanyika bure kwa wanafunzi wa watakao kuwa tayari kupata elimu hiyo.

Akizungumza na Nuru fm Dicksoni Kawovela ambaye ni mratibu wa miradi ya jamii kutoka ofisi ya mbunge RITTA KABATI amesema kuwa wameamua kuja na mpango huo kwa lengo la kuinua elimu ya sayansi kwa wanafunzzi wa shule za sekondari hapa manispaa.

Aidha Kawovela amesema kuwa mafunzo hayo yatakuwa na manufaa kwa walimu na wanafunzi watakaokuwa wanahudhuria masomo haya ambayo yatakuwa yanatolewa bure.Kawovela amewaka wazazi wa wanafunzi kuwaruhusu watoto wao kwenda kwenye makambi hayo ili waongezewe uwezo katika masomo ya sayansi.

Hata hiyo Kawovela alisema kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa mama Salma Kikwete ambaye ni mbunge wa kuteuliwa na Rais katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



Hivyo makala MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA

yaani makala yote MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mama-salma-kikwete-kuzindua-kampeni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMA SALMA KIKWETE KUZINDUA KAMPENI YA KAMBI YA WANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI MKOANI IRINGA"

Post a Comment

Loading...