Loading...

Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha

Loading...
Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha
link : Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha

soma pia

Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha

 Waandishi pamoja na Wapiga picha wavyombo mbalimbali vya Habari vikishughulika  katika mapokezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar (ZANZIBAR HEROES)Ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataofa wa Zanizbar ikitokea Kenya Katika mashindano ya CECAFA CHALLENGE CUP ambapo ilipata mshindi wa Pili.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akimvisha Shada la maua Kocha mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroko mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar na Tumu yake ikitokea Kenya Katika mashindano ya CECAFA CHALLENGE CUP ambapo ilipata mshindi wa Pili.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akimvisha Shada la maua Kapteni wa Timu ya Taifa ya  Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar na Tumu yake ikitokea Kenya Katika mashindano ya CECAFA CHALLENGE CUP ambapo ilipata mshindi wa Pili.
 Viongozi mbalimbali pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (ZANZIBAR HEROES)wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar ikitokea Nchini Kenya katika mashindano ya CECAFA CHALLENGE CUP ambapo Timu hio ilipata mshindi wa Pili.
 Wananchi mbalimbali waliojitokeza Barabarani kuipokea Timu yao ya Taifa ya Zanzibar(ZANZIBAR HEROES) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar ikitokea Nchini Kenya katika mashindano ya CECAFA CHALLENGE CUP ambapo Timu hio ilipata mshindi wa Pili.

PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.

Hivyo makala Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha

yaani makala yote Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mapokezi-ya-mashujaa-wa-zanzibar-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mapokezi ya Mashujaa wa Zanzibar katika picha"

Post a Comment

Loading...