Loading...
title : Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara
link : Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara
Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Mustafa Aboudjumbe kushoto akijibu maswala mbalimbali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Sheha wa Shehia ya Matemwe Denge Khamis Silima akiuliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Hassan Ali Kombo akiliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Vuai Mwinyi Mohammed kulia akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHANA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara
yaani makala yote Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/masheha-mkoa-wa-kaskazini-unguja.html
0 Response to "Masheha Mkoa wa Kaskazini Unguja wapewea taarifa ya ujenzi wa barabara"
Post a Comment