Loading...
title : Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho
link : Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho
Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakijifua huko Machakos nchini Kenya wakijiandaa na kombe la Challenge. Mashindano yanaanza kesho
Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.
Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALENJ CUP yataanza kutimua vumbi kesho nchini Kenya.
Wenyeji Kenya watafungua pazia hilo kwa mchezo wa kundi A dhidi ya Rwanda mchezo utakaopigwa majira ya saa 8:00 za mchana katika uwanja wa Machakos.
Saa 10:00 za jioni kesho kutakuwana na mchezo mwengine wa kundi A ambapo Tanzania Bara watacheza na Libya.
Michuano hii itafikia tamati Disemba 17, 2017.
Hivyo makala Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho
yaani makala yote Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mashindano-ya-cecafa-kutimua-vumbi-kesho.html
0 Response to "Mashindano ya Cecafa Kutimua vumbi kesho"
Post a Comment