Loading...
title : MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA
link : MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA
MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo rasmi na Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming jijini Beijing.
Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming akisisitiza jambo alipokuwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.Augustine Mahiga leo jijini Beijing.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa na ujumbe wake aliongozana nao katika ziara ya kikazi nchini China. Kutoka kushoto ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini China, Kanali Remigius Ng'umbi anayefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Thomas Kashililah na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki.
Wajumbe wa pande mbili za China na Tanzania wakiwa katika mazungumzo.
Wajumbe wengine wa Tanzania wakifuatilia mazungumzo. Kutoka kulia ni Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Malmeltha Mutagwaba, Naibu Katibu Mkuu wa Biashara na Uwekezaji kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kutoka Serikali ya Zanzibar, Bw. Khamis Omar
Balozi Mahiga akitoa zawadi ya picha kwa Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming. Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mipango ya China
Hivyo makala MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA
yaani makala yote MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/matukio-ya-ziara-ya-waziri-wa-mambo-ya.html
0 Response to "MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA"
Post a Comment