Loading...

MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA

Loading...
MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA
link : MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA

soma pia


MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA

Mwambawahabari



MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameondoka Jijini hapa jana jioni kuelekea Addis Ababa, kuhudhuria mkutano wa kujadili changamoto zinazo wakabili viongozi wa serikali za mitaa.


Mkutano huo wa siku tatu umeandaliwa na Umoja wa Mataifa ambapo unalengo la kujadili na kutoa majibu ya changamoto ambazo wanakutana nazo viongozi wa serikali za mitaa wakiwepo Mameya wote.


Miongoni mwa changamoto ambazo zitajadiliwa katika mkutamo huo pamoja na mambo mengine ni suala la bajeti katika halmashauri na ukusaji wa mapato.Mbali na Mameya ,mkutano huo pia utahudhuriwa na viongozi wengine wa serikali za mitaa kutoka Nchi mbalimbali.


Aidha Meya Mwita atazungumza na mkutano huo kuelezea changamoto zilizopo katika jiji la Dar es Salaam , namna ambavyo kwa asilimia kadhaa wameweza kuzitatua.Aidha katika mkutano huo ataeleza pia mafanikio yaliyopo katika jiji la Dar es Salaam kupitia sekta mbalimbali za Maendeleo.

” Katika mkutano huo hatuta kuwa jiji la Dar es Salaam pekee ,ni Nchi mbalimbali Duniani zitakuwepo, tutajadili changamoto zinazo tukabili kwenye halmshauri zetu, mafanikio,lakini pia kujengeana uwezo kwenye utendaji kazi” alisema Meya Mwita.


Imetolewa leo Desemba 11


Na Christina Mwagala , Afisa Habari Ofisi ya Mstahiki Meya wa jiji


Hivyo makala MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA

yaani makala yote MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/meya-mwita-ahudhuria-mkutano-wa_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA UMOJA WA MATAIFA MJINI ADDIS ABABA"

Post a Comment

Loading...