Loading...

MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM.

Loading...
MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM.
link : MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mwambawahabari
 
MWANDISHI wa habari mwandamizi, Mayage Mayage, (56), amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda.


Mayage amekutwa na umauti katika Hospitali ya Misheni ya Mbweni, Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa muda wa wiki mbili.Taarifa kutoka kwa mdogo wake Emmanuel Mayage, alisema kuwa madaktari waligundua kaka yake kuugua saratani na kifua kikuu (TB).


Emmanuel alisema kuwa Mayage atazikwa Alhamis Desemba 28, 2017 katika makaburi ya Mbweni, eneo linaloitwa Maputo.Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu Mbweni Kijijini, eneo la Maputo ambako ndugu na jamaa wanakutana.


NAMNA YA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU.


Msiba uko nyumbani kwake Mbweni Kijijini, Dar es Salaam, eneo la Mbweni Maputo,siyo mbali na hospitali ya Mbweni Misheni.

Ukiwa unatokea Mwenge unapanda daladala ziendazo Mbweni, unashukia kituo cha Mbweni Misheni, kisha hatua chache mbele kuna njia inayokwenda kushoto ituate hiyo.Ifuate barabara hiyo kwa kuongozwa vibao vinavyoelekeza kuelekeza msiba ulipo mpaka utakapofika nyumbani kwa marehemu, ambaye ni maarufu kama Mzee wa Magazeti.

Njia nyingine ni kupanda mabasi ya Makumbusho-Bunju/Magamoyo, shukia  kituo cha Mianzini Bunju.

Hapo chukua bodaboda kwa gharama ya 3000/= hivi hadi mbele kidogo ya Mbweni Misheni Hospitali.Hapo kata kushoto na muelekeze bodaboda afuate vibao vya kuelekeza msiba hadi nyumbani kwa marehemu.

Kwa wenye usafiri binfsi; unaweza kufika kwa njia mbili:

1.Ukitoka Mwenge nenda mpaka Petrol Station ya Lake Oil eneo la Bunju.Hapo kuna barabara ya lami kuelekea Mbweni.Ifuate hadi Mbweni Misheni Hospitali.Baada ya hapo kata kushoto.Fuata vibao vya msiba.


2.Ukitoka Mwenge nenda hadi njia panda Mbweni,fuata njia ya daladala, pita mageti ya Jeshi hadi Mbweni Kijijini.Endelea mbele hadi Mbweni Misheni Hospitali.Sogea mbele kidogo, halafu kata kushoto na anza kufuata maelekezo ya vibao vya msiba.



MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN




Hivyo makala MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mwandishi-mkongwe-mayage-s.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.KUZIKWA MBWENI ALHAMIS HII JIJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment

Loading...