Loading...
title : Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo
link : Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo
Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017 (katikati) ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MATOKEO UCHAGUZI UVCCM TAIFA 2017
1. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.
2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
Kura halali 565
Thabia Mwita 286 (Mshindi)
Rashid Mohamed Rashid 282
#MatokeoUchaguziUVCCM
3. Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara..
Sophia Kizigo
Musa Mwakitinya
Keisha
#MatokeoUchaguziUVCCM
4. Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar..
Abdallaghari Idrisa Juma
Maryam Mohamed Khamis
#MatokeoUchaguziUVCCM
5. Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3..
Rose Manumba
John Katarahiya
Secky Katuga
#MatokeoUchaguziUVCCM
6. Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa
Nasra haji
Abdallah Rajabu
#MatokeoUchaguziUVCCM
7. Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi ni AMIR MKALIPA
#MatokeoUchaguziUVCCM
8. Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT ni DOTO NYIRENDA
Hivyo makala Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo
yaani makala yote Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-mpya-wa-uvccm-apatikana.html
0 Response to "Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo"
Post a Comment