Loading...
title : MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO
link : MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO
MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndg. Abdulrahman Kinana, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa pamoja Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa, Mboni Mhita wakiimba moja ya nyimbo za Chama hicho, kabla ya kufungua mkutano wa Tisa wa UVCCM unaofanyika katika ukumbi wa chuo cha Mipango mkoani Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndg. Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa Tisa wa UVCCM unaofanyika katika ukumbi wa chuo cha Mipango mkoani Dodoma leo. Katikati ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akifuatiwa na Mke wa Rais, Mama Jannet Magufuli.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka akizungumza na wajumbe wa mkutano tisa wa Umoja wa Vijana wa Chama hicho unaofanyika katika ukumbi wa chuo cha Mipango mkoani Dodoma leo.
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuli.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO"
Post a Comment