Loading...
title : MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
link : MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
marehemu Humphrey Makundi alikuwa ni Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Scolastica iliyopo mji mdogo wa Himo ambaye inadaiwa alipotea katika mazingira tatanishi Novemba 6, na baadaye mwili wake ukaokotwa kando ya mto Ghona ambao uko umbali wa mita 300 kutoka shuleni hapo, na mwili wake kudaiwa kuzikwa na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mjini, mkoani Kilimanjaro.
Mwili huo ulifukuliwa baada ya siku kadhaa kwa amri ya Mahakama ili kufanyiwa uchunguzi na kubainika ni mtoto huyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA
yaani makala yote MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mwili-wa-mwanafunzi-wa-scolastica.html
0 Response to "MWILI WA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA ALIYEUAWA WAAGWA MKOANI KILIMANJARO, WENGI WAJITOKEZA KUUSINDIKIZA"
Post a Comment