Loading...
title : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma
link : Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma
Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba ambaye pia ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,akizungumza mapema leo mjini Dodoma mbele ya Wadau mbalimbali wa mambo ya Afya,ikiwa ni sehemu ya kuelekea kilele cha uzinduzi wa kampeni ya Unawaji Mikono kwa vituo vya Afya itakayojulikana kwa jina la NIPO TAYARI awamu ya pili,Ambapo katika uzinduzi wa kampeni hiyo itakayozinduliwa rasmi Desemba 7,2017 mkoani Dodoma,Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais Mama samia Suluh Hassan
Mratibu wa Kampeni ya Usafi wa mazingira-wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dkt Anyitike Mwakitalima akizungumza jambo mbele ya Wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo,mapema leo mjini Dodoma,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa Njombe,Dkt Buru Mwamasage jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Afisa Afya mkoa wa Dodoma,Edward Ganja jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba akimkabidhi Mkurugenzi wa Mipango kutoka shirika la WaterAid -Tanzania Bwa.Abel Dugange jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma
yaani makala yote Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mwongozo-wa-taifa-wa-huduma-za-maji-na.html
0 Response to "Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya wazinduliwa leo mjini Dodoma"
Post a Comment