Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA
link : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo Desemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo katika Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo Desemba 7, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo Desemba 7, 2017.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-akutana-na-jaji-mkuu.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA MAHAKAMA KUU DODOMA"
Post a Comment