Loading...

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO
link : RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird  wakifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird  wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa  jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya  Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Andrew Wilson Massawe wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Miles wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa Majaliwa wakizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ramani ya Tanzania yenye kuonesha takwimu ya hali ya  maambukizi ya VVU kimkoa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.

PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU MJINI DODOMA LEO"

Post a Comment

Loading...