Loading...

RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS

Loading...
RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS
link : RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS

soma pia


RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS

 Rais wa Palestina Mheshimiwa “Mahmuud Abbas” katika hotuba yake kwenye Mkutano wa dharura wa Kiislamu uliofanyika nchini Uturuki, kujadili azimio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuitambua Jerusalem kuwa ni mji mkuu wa Israeli, amemshukuru Papa Francis, nchi zote na viongozi wa nchi hizo, waliotangaza kwa pamoja msimamo wao wa waziwazi na unaopinga matendo yasiyofaa ya Rais wa Marekani, huku wakisimama kidete na wananchi wao dhidi ya azimio hilo lisilo la kisheria.
Aidha, Rais Abbas ameweka wazi ya kwamba taifa la Palestina na mataifa yote kiarabu, wakiwemo waislamu na wakristo wanaungana katika kulikabili azimio hili lisilo sahihi na linalokwenda kinyume na maazimio yote ya Baraza la Usalama, Mahakama ya Kimataifa ya Haki na maazimio ya Mashirika yote ya kikanda na kimataifa, yanayoshughulikia mgogoro wa Palestina na Israeli yakiwemo maazimio ya Umoja wa Afrika.
Rais Mahmuud Abbas  wa Palestina  pia ametilia mkazo kuwa, hakuna amani itakayopatikana bila ya kutambulika Jerusalem ya mashariki kama ni mji mkuu wa dola ya Palestina na kwamba Wananchi wa Palestina wataendelea kusimama kidete katika ardhi yao na kulinda sehemu takatifu za kikristo na kiislamu.


Hivyo makala RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS

yaani makala yote RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-wa-palestina-amshukuru-papa-francis.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS"

Post a Comment

Loading...