Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA
link : RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA

 WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika ukumbi wa mkutano katika hoteli ya coconut marumbi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano huo 
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Nyenzo za utendaji Kazi za CCM Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Chwaka Mwalimu Mussa Jecha, wakati wa mkutano huo, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeri rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa coconut marumbi Unguja.
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja. 
 MSIMAMIZI Mkuu wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Mkoa wa Kusini Unguja Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa zoezi la kupiga kura likiaza katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Unguja.
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja. 
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano Mkuu uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya coconut marumbi Wilaya ya Kusini Unguja. Picha na Ikulu


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-dk-shein-afungua_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA"

Post a Comment

Loading...