Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco, wakati wa hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji wa Timu hiyo kwa kuonesha mchezo wa hali ya juu na kufikia katika hatua ya Fainali wakati wa michezo ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya.
Timu ya Zanzibar Heroes imetolewa kwa njia ya matuta n Timu ya Taifa ya Kenya wiki iliopita na kuchukua nafasi ya Pili ya Michuano hiyo.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Hemed Suleiman Moroco akitowa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kwa mchango wake katika Sekta ya Soka Zanzibar.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa-braza.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Aipongeza Timu ya Zanzibar Heroes na Kuwaandalia Chakula cha Mchana Katika Viwanja Vya Ikulu Zanzibar leo."
Post a Comment