Loading...
title : SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI
link : SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI
SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora, akifungua rasmi warsha ya siku moja, ya wadau wa ujenzi, kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.
Mwezeshaji wa mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, Bw. Cyril Batalia akifafanua jambo kwa wadau wa sekta ya ujenzi,wakati wa warsha ya kujadili na kuboresha sera hiyo, mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa sekta ya Ujenzi mara baada ya kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.
Hivyo makala SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI
yaani makala yote SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/sera-mpya-ya-ujenzi-kukamilika-hivi.html
0 Response to "SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI"
Post a Comment