Loading...

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO

Loading...
SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO
link : SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO

soma pia


SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO

Mwambawahabari

 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametoa msamaha kwa wafungwa 8157 ambapo wafungwa 1828 wataachiwa huru leo na 6329 watapunguziwa muda wao wa kifungo,  Pia ametoa msamaha kwa wafungwa 61 waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa na kuziagiza idara husika kuwatoa leo au kesho.
 
Kabla ya kutoa hukumu hiyo, Rais Dkt. Magufuli alisema kuwa Tanzania tuna wafungwa 39,000 mpaka jana, kati ya hao 37,000 ni wanaume na 2,000 ni wanawake huku Wanaosubiri kunyongwa wakiwa ni 522, wanaume 503, wanawake 19 tu.
Wakati huo huo Rais Dkt. Magufuli ametoa msamaha kwa Familia ya Nguza Viking (Babu Seya) na Johnson Nguza (Papii Kocha), ambao walihukumiwa kifungo cha maisha miaka kadhaa iliyopita, hivyo kuanzia leo familia hiyo iko huru.
 
Rais Dkt. Magufuli ametoa misamaha hiyo leo katika Sherehe za Maadhimishi ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yaliyokuwa yakifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.


Hivyo makala SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO

yaani makala yote SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/sherehe-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA PAPII KOCHA PIA WAPITIWA NA MSAMAHA HUO"

Post a Comment

Loading...