Loading...

SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

Loading...
SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM
link : SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

soma pia


SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM


Mratibu wa Elimu Kata ya Kigamboni Bibi. Angelina Ngasaswa akizungumza na wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na Watu wenye uhitaji maalu wanaofundishwa chini ya uratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) wakati wa hafla ya kufunga shule hiyo mapema hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Shirika la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) akizungumza na wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na Watu wenye uhitaji maalum wanaofundishwa chini ya uratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) wakati wa hafla ya kufunga shule hiyo mapema hivi karibuni. Special Need Salution (SNS) ni shirika lisilo la Kiserikali limeanzisha darasa maalum kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum ili kuwakwamua kielimu, kiuchumi na kimaendeleo huko kauli mbiu yake ikiwa ni “Stawisha watu wenye mahitaji maalum.”
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tua Moyo Bw. Abdul Habibu akisisitiza jambo mbele ya wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na wenye uhitaji maalum wanaofundishwa chini ya uratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) wakati wa hafla ya kufunga shule hiyo mapema hivi karibuni. Special Need Salution (SNS) ni shirika lisilo la Kiserikali limeanzisha darasa maalum kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum ili kuwakwamua kielimu, kiuchumi na kimaendeleo huko kauli mbiu yake ikiwa ni “Stawisha watu wenye mahitaji maalum.”

Katibu Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) Mwl. Sarapendo Urio akionyesha baadhi ya kazi za Wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na Wenye Uhitaji Maalum wakati wa hafla fupi ya kufunga masomo mapema hivi karibuni. Special Need Salution (SNS) ni shirika lisilo la Kiserikali limeanzisha darasa maalum kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum ili kuwakwamua kielimu, kiuchumi na kimaendeleo huko kauli mbiu yake ikiwa ni “Stawisha watu wenye mahitaji maalum.”
Baadhi ya wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na wenye uhitaji maalum wanaofundishwa chini ya uratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Suluhusho la Watu Wenye Mahitaji Maalum (SNS) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mara baada ya kufunga shule hiyo mapema hivi karibuni. Special Need Salution (SNS) ni shirika lisilo la Kiserikali limeanzisha darasa maalum kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum ili kuwakwamua kielimu, kiuchumi na kimaendeleo huko kauli mbiu yake ikiwa ni “Stawisha watu wenye mahitaji maalum.”


Hivyo makala SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

yaani makala yote SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/sns-yapongezwa-kwa-kuwajali-watu-wenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM"

Post a Comment

Loading...