Loading...

TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.

Loading...
TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.
link : TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.

soma pia


TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.

Mwambawahabari
Wafanyakazi wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa ( TAKUKURU) wa Wilaya za Temeke na Kigamboni leo wamewataembelea wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni (Vijibweni) ambapo walipata muda wa kuongea na watumishi wa hospitali hiyo pamoja na wagonjwa waliofika hospitalini hapo kupata huduma.



Kamanda wa wa TAKUKURU Wilaya ya Kigambopni ndg Philip Joseph amesema ziara hiyo ni katika kuadhimisha siku ya kupambana na rushwa na hutoaji wa haki duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 9Disemba kila mwaka ambapo wao kama sehemu ya jamii wanashiriki kujumuika na jamii kwa ajili ya kutoa elimu dhidi ya mapambano dhidi ya rushwa lakini pia kutoa zawadi mbali mbali kwa wahitaji.
Wakiwa hosipitalini hapo walitembelea wodi za watoto, wazazi pamoja na wodi ya akina baba ambapo walitoa zawadi za vyakula na vifaa vya kufanyia usafi kwa wagonjwa.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Dr. Charles Mkombachepa aliwashuruku kwa zawadi pamoja na elimu waliyoitoa kwa watumishi na wananchi katika hospitali hiyo na kusema rushwa hi adui wa haki na kila mtu anatakiwa kupinga rushwa kwani kwa mazingira yao ya kazi wanawahudumia wananchi ambao wengi wao hawana uwezo hivyo wanafika hospitali kutafuta huduma na si kuombwa rushwa.
Kauli mbiu ya mwaka huu dhidi ya rushwani" Piga vita rushwa ,zingatia maadili,haki za binadamu na utawala bora kuelekea uchumi wa kati''


Hivyo makala TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI.

yaani makala yote TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/takukuru-wawatembelea-wagonjwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAKUKURU WAWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA VIJIBWENI, WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI."

Post a Comment

Loading...