Loading...
title : TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK
link : TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK
TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK
Tanzania Reading Association tunasikitika Kutangaza Kifo cha Mtanzania Mwenzetu, Mrs. Alice Mwanyalala (pichani) Kilichotokea Royal Berkshire Hospital. Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kwenda nyumbani Tanzania tarehe 15.12.2017.Gharama zote ni £12,000.
Tafadhali Tunaomba Tuwachangie na kufika Kuwafariji Familia Ya Pastor Zephania Mwanyalala Katika Kipindi Hiki Kigumu.
08 CARSDARE CLOSE
COLEY PARK
READING
RG1 6D
Kwa michango ya rambirambi ielekezwe
kwa account ya mmoja wa wana familia,
*Ref. Jina lako*👇🏿👇🏿👇🏿
*Miss G Mwanyalala*
*LLOYDS BANK*
*A/C 415 72 860*
*S/CODE 30-67-99*
http://ift.tt/2AsgJ6O
Hivyo makala TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK
yaani makala yote TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/tanzia-na-harambee-ya-msiba-wa-mrs.html
0 Response to "TANZIA NA HARAMBEE YA MSIBA WA MRS ALICE MWANYALALA HUKO READING, UK"
Post a Comment