Loading...

TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani

Loading...
TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani
link : TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani

soma pia


TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani

Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema Olory (wa pili toka kushoto) akikabidhiwa Bendera ya Taifa na Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto) kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani, kulia ni Mwanzilishi wa Kampuni ya Coutious on Tanzania Justa Lujwengana na wa pili kulia ni Afisa Uhusiano Mkuu toka Bodi hiyo Geofrey Tengeneza. Meneja wa Masoko toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Meena (kushoto) akimkabidhi Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema Olory baadhi ya vitabu vinavyoelezea vivutio mbambali vya utalii vilivyopo Tanzania mara baada ya kumkabidhi Bendera ya Taifa kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani Mshindi wa Pili katika Mashindano ya Miss Tanzania U.S.A. mwaka 2017, Neema Olory akionesha baadhi ya vitabu vinavyoelezea vivutio mbambali vya utalii vilivyopo Tanzaniakwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa kama ishara ya kuwa balozi wa Utalii nchini Marekani mapema hii leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Eliphace Marwa – Maelezo).


Hivyo makala TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani

yaani makala yote TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/ttb-yamkabidhi-bendera-balozi-wa-utalii_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTB Yamkabidhi Bendera Balozi wa Utalii Nchini Marekani"

Post a Comment

Loading...