Loading...

UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA

Loading...
UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA
link : UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA

soma pia


UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA

Mhandisi Robert Gabriel Mkuu wa Mkoa wa Geita aliyevaa koti la rangi ya dhambarau na miwani akipata maelezo juu ya matumizi ya kamera za barabarani kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Geita, Mkaguzi wa Polisi Mark Thomas Masawe wakati wa ukaguzi wa mabanda ya maonyesho katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama mkoani humu.
ofisa wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Hagai Ruben akitoa maelezo kuhusu ukataji wa leseni za usafirishaji kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika kimkoa katika Mji Mdogo wa Katoro Geita.
Wataalam wa Jeshi la Zima Moto na Wokozi Mkoa wa Geita wakiwaeleza wajumbe wa Baraza la Usalama barabarani la Mkoa wa Geita juu ya matumizi mbalimbali ya mitungi yenye Gesi ya kuzima moto wakati wajumbe hao walipotembelea banda la kikosi hicho.
Emmanuel Chacha mtaalam kutoka Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya Geita (GGML) akitoa maelezo kuhusu matumizi ya vifaa vya wokozi katika maeneo ya migodi kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita na wajumbe wa baraza la Usalama barabarani .



Hivyo makala UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA

yaani makala yote UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/uzinduzi-wa-wiki-ya-nenda-kwa-usalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA"

Post a Comment

Loading...