Loading...
title : WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO
link : WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO
WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO
Na David JohnWAKULIMA wa zao la Karafuu Kata ya Kigongoi Mashariki wilayani Mkinga mkoa wa Tanga wameiomba Serikali kuwapatia soko la uhakika la zao hilo kwani kuzalisha wanazalisha lakini hawana soko.
Wamesema kuwa katika kata yao hiyo wananchi wake wanalima kwa wingi zao la karafuu lakini pamoja na jitihada hizo za kulima lakini wanakosa soko la uhakika nakuwavunja moyo wa kuendelea kulima zao hilo.
Akizungumza kwaniaba ya wananchi wa kijiji cha Hemsambia Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho Stephen Komba alisema kuwa wananchi wake wanalima kwa wingi zao la karafuu lakini tatizo ni soko.
Alisema kuwa anaiomba serikali kupitia wizara inayohusika kufika kijiji hapo ili kujionea mwenyewe hali ilivyo na kuona namna ya kuwasaidia hususani kupatikana kwa soko la uhakika.
Mbali na changamoto hiyo ya soko la kukosekana kwa soko la karafuu pia kuna tatizo kubwa la miundombinu ya barabara na kwamba hata soko likiwepo tatizo barabara.
"Tunamuomba waziri wa viwanda biashara na uwekezaji Charles Mwijage pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kufika eneo hilo kujionea miundombinu ya barabara."alisema Pia alisema kuwa Wilaya ya mkinga inatatizo kubwa hususani kwenye miundombinu ya barabara pamoja na masoko ya mazao ya wakulima wao.
Hivyo makala WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO
yaani makala yote WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/wakulima-wa-zao-la-karafuu-wa-mkinga.html
0 Response to "WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO"
Post a Comment