Loading...
title : Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi
link : Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi
Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima Mohd Hafidh akifungua warsha ya siku moja ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa zaka kwa njia iliyosahihi ili kupata radhi Mwenye ez Mungu katika Ukumbi wa Shantimba Mombasa Mjini Zanzibar.
Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu Sheikh Ahmed Haidar Jabir akitoa mada ya umuhimu wa kutoa Zaka na faida zake katika warsha iliyoandaliwa na Jumuiya ya JUZASA katika Ukumbi wa Shantiba Mombasa Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa JUZASA Sheikh Said Suleiman (Gwiji) akitoa maelezo juu ya malengo ya Jumuiya hiyo katika warsha iliyoandaliwa ya kuhamasisha wafanyabiashara kuelewa umuhimu wa kutoa zaka katika Ukumbi wa Shantiba Mombasa Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga.
Hivyo makala Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi
yaani makala yote Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/warsha-ya-kuwaelimisha-wafanyabiashara.html
0 Response to "Warsha ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiislamu umuhimu wa kutoa Zaka kwa njia iliyo sahihi"
Post a Comment