Loading...

WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI

Loading...
WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI
link : WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI

soma pia


WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI

Watanzania wameshauriwa kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ili waweze kukuza soko la ndani na uchumi kwa ujumla.

Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Tafiti na Maendeleo wa BANK OF AFRICA (BOA), Muganyizi Bisheko, wakati alipokua akikabidhi msaada wa vyerehani kwa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Alisema ili uchumi wa nchi wanchi ukue haraka, watanzania wanapaswa kubadili mitazamo ya kudhani kuwa bidhaa za nje ni bora kuliko bidhaa za ndani, jambo ambalo si sahihi.Alisema katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia, Watanzania wengi wamepiga hatua katika uboreshaji wa shughuli zao, jambo ambalo limechangia kuwepo kwa bidhaa bora zinakubalika katika soko la ndani nan je ya nchi.

“ ifike wakati Watanzania tunapaswa kubadili mitazamo yetu na kuamini kuwa, bidhaa zinazozalishwa nchini zina ubora unaokubalika, jambo ambalo linachangia kupata masoko ya ndani na njke ya nchi”, alisema Bisheko.

Alisema Benki hiyo inashirikiana na wadau mbalimbali wakiwamo wamiliki wa vyuo na viwanda vidogo ili kuhakikisha wanaboresha shughuli zao na kujiongezea kipato.Naye Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Oystebay, Sister Getrude Amandus, alisema chuo hicho kinatoa mafunzo ya ufundi ili kuwawezesha vijana kujiajiri.Meneja Masoko, Tafiti na Maendeleo wa BANK OF AFRICA (BOA), Muganyizi Bisheko, akikabidhi msaada wa vyerehani kwa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi kilichnopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI

yaani makala yote WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/watanzania-waaswa-kupenda-bidhaa-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI"

Post a Comment

Loading...