Loading...

WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU

Loading...
WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU
link : WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU

soma pia


WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akizungumza wakati Mahafali ya Shule Mikocheni Islamic ambapo aliwaasa wazazi kuwekeza katika kuwapatia watoto elimu ya Duniani na dini hili waweze kuja kuwa watumishi waadilifu baadae pindi wanapokuja kuwa viongozi wa Umma.
Katibu wa Shule ya Mikocheni Islamic akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo katika mahafali ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akikagua Maonesho ya kisayansi ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakati wa mahafali ya Darasa la Saba ya shule hiyo yaliyofanyika jana.
Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakionesha Umahiri wao wa kuimba Kaswida mbele ya Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kitengo cha Sayansi na walimu wao wa shule ya Msingi Mikocheni Islamic.


Hivyo makala WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU

yaani makala yote WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-jafo-kumsomesha-mtoto-ni-ibada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU"

Post a Comment

Loading...