Loading...
title : WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
link : WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
Mwambawahabari
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

chechu baada ya kuzindua Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliopo kwenye makao makuu ya NHC, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Hivyo makala WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
yaani makala yote WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-lukuvi-azindua-mnara-wa-mwalimu.html
0 Response to "WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA"
Post a Comment