Loading...

Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini

Loading...
Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini
link : Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini

soma pia


Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uturuki nchini, Mhe.Ali Dovutoglu. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Desemba 2017.
Mhe. Waziri Mahiga akizungumza na Mhe. Dovitoglu ambapo alimuhakikishia kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake pamoja na kumpongeza kwa kuteuliwa kwake kwa awamu nyingine kuiwakilisha Jamhuri ya Uturuki nchini.


Hivyo makala Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini

yaani makala yote Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-mahiga-apokea-nakala-za-hati-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mahiga Apokea Nakala Za Hati Za Utambulisho kutoka Kwa Balozi Mteule Wa Uturuki Nchini"

Post a Comment

Loading...