Loading...
title : YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI
link : YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI
YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara timu ya soka ya Yanga imepangwa kundi moja na Singida United katika ushiriki wa michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu huko visiwani Zanzibar.
Yanga imepangwa katika kundi B lenye jumla ya timu sita huku kundi A lenye timu za Simba na Azam FC lina jumla ya timu tano.
Bingwa Mtetezi wa kombe hilo ni Azam ambao wapo kundi moja na mabingwa wa kombe la Shirikisho Simba sambamba na URA kutoka Uganda,Jamhuri na Mwenge zote za Zanzibar
MAPINDUZI CUP JANUARY 2018
GROUP A
1.Azam FC
2.Jamhuri SC
3.Mwenge SC
4.Simba SC
5.URA
GROUP B
1.JKU
2.Mlandege FC.
3.Singida United
4.Taifa ya Jang'ombe
5.Yanga SC na
6.Zimamoto
Bingwa Mtetezi wa kombe hilo ni Azam ambao wapo kundi moja na mabingwa wa kombe la Shirikisho Simba sambamba na URA kutoka Uganda,Jamhuri na Mwenge zote za Zanzibar
MAPINDUZI CUP JANUARY 2018
GROUP A
1.Azam FC
2.Jamhuri SC
3.Mwenge SC
4.Simba SC
5.URA
GROUP B
1.JKU
2.Mlandege FC.
3.Singida United
4.Taifa ya Jang'ombe
5.Yanga SC na
6.Zimamoto
Hivyo makala YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI
yaani makala yote YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/yanga-wapangwa-kundi-moja-na-singida.html
0 Response to "YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI"
Post a Comment