Loading...

Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli

Loading...
Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli
link : Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli

soma pia


Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli


Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.

Kijana mzalendo, Omary Kombe amejipanga kutembea kutoka Kimara hadi Kivukoni siku ya Jumamosi, Januari 20, 2018 ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika kuliletea Taifa maendeleo.

Kombe ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya nia ya matembezi yake pamoja na mpango wake wa kutoa tuzo kwa Rais Magufuli itakayojulikana kama ‘Tuzo ya Kiongozi Mzalendo’.

Kombe amesema kuwa Rais Magufuli amekuwa ni kiongozi makini, mwenye uthubutu, mwenye msimamo thabiti na mzalendo wa kweli kwani amefanya mambo mbalimbali yakiwemo ya kuimarisha mfumo wa ulipaji kodi, kubadilisha sheri kandamizi za madini, kukomesha vitendo vya ujangili katika mbuga za wanyama, rushwa na dawa za kulevya pia kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma.

“Kubwa kuliko yote, Serikali ya Awamu wa Tano kwa ujumla imekuwa ikihamasisha kwa vitendo kuhusu ujenzi wa Tanzania ya Viwanda na kupelekea nchi kuwa na uchumi wa kati hivyo kwa niaba ya vijana wazalendo napenda kumpongeza kwa kufanya matembezi, kumpa tuzo ya kiongozi mzalendo pamoja na kutoa msaada katika hospitali ya Ocean Road iliyopo jijini hapa,” alieleza Kombe.
Kijana Mzarendo,Omary Kombe akizungumzana na waandishi wa hawapo pichani juu ya kutembea kutoka Kimara hadi Kivukoni siku ya Jumamosi, Januari 20,mwaka huu ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika kuliletea Taifa maendeleo, Mwenyekiti Mwenza Kamati ya Kutoa Elimu ya Unyonyaji kwa Watu Wenye Ualbino, Maiko Lugendo.
Mwenyekiti Mwenza Kamati ya Kutoa Elimu ya Unyonyaji kwa Watu Wenye Ualbino,Maiko Lugendo akimkabdhi Kijana Mzarendo,Omary Kombe t-shirt atakayo vaakesho kwaajili ya matembezi hayo.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.




Hivyo makala Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli

yaani makala yote Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/ajipanga-kutembea-hadi-magogoni-kuunga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli"

Post a Comment

Loading...