Loading...

ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA

Loading...
ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA
link : ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA

soma pia


ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA


Polisi Kitengo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), inamshikilia mfanyabiashara wa vifaa vya magari, Boniface Mbilinyi (32) kwa tuhuma za kusafirisha dola 83,000 za Marekani sawa na Sh182.6 milioni.

Kamanda wa Polisi Viwanja vya Ndege, Matanga Mbushi amesema mtuhumiwa huyo alikuwa akisafirisha fedha hizo kwenda Dubai.

Amesema polisi walimkamata mfanyabiashara huyo Januari 13 saa 9 alasiri uwanjani hapo kwa kushirikiana na maofisa wa Forodha, kwamba alikuwa akisafiri na dola 123,000 za Marekani.

Amesema kati ya hizo, dola 40,000 za Marekani  zilithibitishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lakini dola 83,000 za Marekani hakuzitolea taarifa yoyote.

“Tulimkamata akiwa anakaguliwa eneo la ukaguzi wa uwanja huo. Mtuhumiwa tunamshikilia kwa mahojiano zaidi hivyo tunategemea kesho kupeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali ili aweze kufikishwa kwenye vyombo vya sheria,” amesema Mbushi.


Hivyo makala ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA

yaani makala yote ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/alivyokamatwa-uwanja-wa-ndege.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIVYOKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKISAFIRISHA DOLA"

Post a Comment

Loading...