Loading...
title : BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI
link : BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI
BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI
Basi la kampuni ya Tahmeed lenye namba za usajili T483 BFL limeungua moto katika Kijiji cha Kabuku wilayani Handeni.
Kwamujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, SACP Edward Bukombe alisema basi hilo ambalo lilikuwa na abiria 9 tu kutoka Dar es salam liliungua moto kutokana na hitilafu za umeme.
Alisema Dereva wa bus hilo Bakari Said (34) alihisi halipo vizuri katika mfumo wa engine akasimamisha gari kisha kuwaomba abiria washuke.
Hata hivyo hakukuwa na mtu aliyejeruhiwa kutokana na ajali hiyo. Hii ni mara ya pili kwa basi la kampuni hiyo kupata hitilafu Kwenye mfumo wa injini na kuungua moto.
Hivyo makala BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI
yaani makala yote BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/basi-la-tahmeed-latetekea-kwa-moto.html
0 Response to "BASI LA TAHMEED LATETEKEA KWA MOTO KABUKU WILAYANI HANDENI"
Post a Comment