Loading...
title : BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.
link : BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.
BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.
Wafanyabiashara wakiwa katika biashara zao katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam mapema leo kama walivyokutwa na Mpiga picha wetu wa Globu ya jamii.
Tikitiki maji katika soko la mabibo ambalo linauzwa kwa bei ya jumla kati ya shilingi 1500 hadi 1800.
Viazi vitamu kwa gunia katika soko la mabibo vinauzwa kati ya Shilingi Elfu 55,000 hadi Elfu 60,000 na kwa rejareja ni sh. 1,000/= kwa fungu.
Ndizi katika soko la mabibo zinauzwa kati ya shilingi 25000 hadi 50,000 kwa mkungu kwa siku ya leo.
Ndizi mbivu katika soko la mabibo kwa kila moja inauzwa kati ya shilingi 80 hadi 200 kwa bei ya jumla kwa siku ya leo.
Nanasi katika soko la mabibo kwa bei ya jumla yanauzwa kati shilingi Elfu 1000/= hadi elfu 1,800/=.
Biashara zikiendelea katika soko la mabibo katika kila pilikapilika za kutafuta mkate wa kila siku.Imetayarishwa na Chalila Kibuda-Globu ya Jamii.
Hivyo makala BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.
yaani makala yote BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/bei-ya-bidhaa-za-matunda-na-vyakula.html
0 Response to "BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO."
Post a Comment