Loading...

BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

Loading...
BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO
link : BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

soma pia


BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii

WAFANYABIASHARA wa matunda Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa matunda yameongezeka, huku wakibainisha wazi bei ambazo wanauza kwa wateja wao. 

Wakizungumza leo na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam wafanyabiashara  hao kuhusu bei ya matunda sokoni hapo. Bei hizo ni kama ilivyo hapo chini.
Bei ya tikitiki maji ni kati ya Sh.1000 hadi Sh. 3500.
Bei ya Parachichi ni kati ya Sh.500 hadi Sh.1000.
 Bei ya Ndizi Mbivu inauzwa kati ya Sh. 100 hadi Sh. 160.
 Bei ya Embe sokoni hapo ni kati ya Sh.400 hadi Sh.700.Bei hiyo hiyo kwa wanaonunua kwa rejareja.
Bei ya Tango  katika Soko la Mabibo yanauzwa kwa fungu moja lenye matango matano kwash.1000.
Bei ya Ndizi inauzwa katika sokoni hapo inauzwa kati ya Sh.20000 hadi Sh.30000 kwa mkungu mmoja.
Bei ya viazi vitamu Sh.1000 kwa fungu katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanunuzi na wauzaji katika soko hilo wakiwa katika pilikapilika.



Hivyo makala BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO

yaani makala yote BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/bei-za-matunda-soko-la-mabibo-kwa-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BEI ZA MATUNDA SOKO LA MABIBO KWA SIKU YA LEO"

Post a Comment

Loading...