Loading...

BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA

Loading...
BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA
link : BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA

soma pia


BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA

Na Agness Francis Globu ya Jamii. 

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Ngumi Tanzania(BFT) Makore Mashaga amesema katika kujiandaa na michuano kuelekea Jumuiya ya Madola watakwenda Mjini Dodoma kwa ajili ya kufanya mashindano yenye lengo la kupima uwezo wa mabondioa wao 13.

Mashanga amesema hayo leo akiwa Ofisini zao Temeke jijini Dar es Salaam na kufafanua licha ya kujianda vema katika michuano hiyo wameona ni vizuri kufanya shindano la kujipima nguvu ili kubaini viwango vya mabondioa wao na kutambua nini kifanyike katika kuwaimarisha zaidi.

"Nia yetu ni kuona viwango vya mabondia hao ili kujua wamefikia kiwango gani na makocha waweze kurekebisha makosa kabla ya kwenda kwenye michuano hiyo ya Jumuiya ya madola,"amesema. Amesema mazoezi yalianza Aprili mwaka 2017 wakiwa na mabondia 30 ikiwa mpaka sasa wamebaki 13 kutokana na mchujo mara baada ya kumaliza mazoezi. 

Ameongeza katika mashindano hayo wamealika wageni kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo mikoa yote nchini, Afrika Mashariki na nje ya Bara la Afrika.Mashindano hayo yatafanyika Februari 25 mpaka Machi 2 mwaka huu."Kati ya mabondia13 watachaguliwa 5 ikiwa mataifa mengine wanapeleka washiriki 10 ila tunaomba angalau tupeleke mabondia 8 na tunataka angalau kufikia uwiano wa nchi nyingine,"amesema Mashaga. 

Kwa upande wa Kocha wa BFT David Yombayomba amesema mandalizi ni mazuri wachezaji wote wamekamilika kila idara na wananguvu za kutosha na wanaamini watafanya vema katika mazoezi ya kuelekea michuano ya Jumuiya ya Madola.
Karibu Mkuu BFT Makore Mashaga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi yanayoendelea kuelekea Michuano ya Jumiya ya Madola leo katika ofisi zao Temeke Jijini Dar es salaam.
Kocha BFT Davidi YombaYomba akizungumza na waandishi wa habari huku akijiitapa kuwa vijana wake wapo vizuri kabisa tayari kwa mpambano leo katika ofisi zao Temeke Jijini Dar es Salaam


Hivyo makala BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA

yaani makala yote BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/bfb-waandaa-mashindano-ya-kujima-nguvu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BFB WAANDAA MASHINDANO YA KUJIMA NGUVU KUELEKEA JUMUIYA YA MADOLA"

Post a Comment

Loading...