Loading...

BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI

Loading...
BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI
link : BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI

soma pia


BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI

Na: Frank Shija - MAELEZO
Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezifutia leseni za uendeshaji wa shughuli za kibenki Benki tano ambazo zimeshindwa kukidhi matakwa ya sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006.
Akizungumza kuhusu hatua hiyo Gavana wa Benki Kuu anayemaliza muda wake amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa kufuatia benki hizo kushindwa kutekeleza matakwa ya kisheria yaliyozitaka benki zote za kijamii kuongeza kiwango hicho cha mtaji ili ziweze kujiimarisha licha ya kupewa muda wa kipindi cha miaka mitano ulifikiwa tamati tarehe 31 Juni 2017.
“Maamuzi haya tunayafanya baada ya Benki zote nchini kupewa muda wa miaka mitano na nusu yakuweza kukidhi matakwa ya sheria, lakini mpaka ilipofika tarehe 31 Desemba 2017 jumla ya benki Nane zilishindwa kuongeza mtaji uliohitajika kati ya hizo Benki  Tano zilishindwa kuwasilisha mpango kazi wa kuonyesha namna zitakavyo kuwa endelevu,” alisema Profesa Ndulu.
Profesa Ndulu alizitaja Benki hizo kuwa ni pamoja na Convenant Bank for Women (T) Limited, Efatha Bank Ltd, Njombe Community Bank Ltd, Kagera Famers’ Cooperative Bank Ltd na Meru Community Bank Ltd.
 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake Profesa Beno Ndulu akisisitiza jambo alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu kuzifutia leseni ya uendeshaji wa shughuli za kibenki baadhi ya benki hapa nchini  katika mkutano uliofanyika BoT Jijini Dar es Salaam leo.  Takribani benki tano zimefutiwa leseni zao na nyingine tatu zimeongezewa muda ili kukidhi vigezo. Katikati ni Gavana Mteule wa BoT Profesa. Florens Luoga na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Amana Richard Malisa.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzani (BoT) anayemaliza muda wake Profesa Beno Ndulu akiwa ameambatana na Gavana mteule wa Benki hiyo Profesa Florens Luoga leo jijini Dar es Salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake Profesa Beno Ndulu akipeana mkono wa kwaheri na Gavana mteule wa Benki hiyo Profesa Florens Luoga. (Picha na Frank Shija – MAELEZO)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI

yaani makala yote BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/bot-yapiga-stop-benki-tano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BOT YAPIGA STOP BENKI TANO KUJISHUGHULISHA NA MASUALA YA KIBENKI"

Post a Comment

Loading...