Loading...

Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne.

Loading...
Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne.
link : Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne.

soma pia


Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne.

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo.

Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu  kati ya 1,158,444 waliofanya upimaji huo.

Amesema  wanafunzi hao wamefaulu kwa kupata alama zenye madaraja ya A,B,C na D wakati wanafunzi 72,288 sawa na asilimilia 6.24 wamepata alama za daraja E, ambao ni ufaulu usioridhisha.

Kuhusu matokea ya upimaji wa kidato cha pili, Dk Msonde  amesema jumla ya wanafunzi 433,453 sawa na asilimia 82.32 kati ya 486,742 waliosajiliwa  kufanya mtihani huo wamepata ujuzi wa maarifa ya kuwawezesha kuendelea  na kidato cha tatu.

Dk Msonde alisema wanafunzi wa kidato cha pili  51,807 sawa na asilimia 10.68 wameshindwa kupata alama za kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.




Hivyo makala Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne.

yaani makala yote Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/breaking-news-necta-yatangaza-matokeo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Breaking News: NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha pili na Darasa la nne."

Post a Comment

Loading...