Loading...
title : BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30
link : BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30
BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30
Mahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemuhukumu Mwalimu wa Sanaa ya kujihami, 'Martial arts', Salum Njwete maarufu kama Scorpion, kutumikia kifungo cha miaka saba gerezani na faini ya sh. Milioni 30 ambayo anatakiwa kuilipa mapema iwezekanavyo.
Hukumu hiyo imesomwa baada ya Scorpion kupatikana na hatia katika kesi ya kujeruhi ikiwemo kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho na kuachiwa huru kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.
Hukumu dhidi ya Njwete ambaye pia ni msanii Wa filamu za kibongo na mshindi wa shindano la Dume Challenge mwaka 2012, na kujinyakulia kitita cha milioni 20 imesomwa na Hakimu Mkazi Wa mahakama hiyo Flora Haule.
Hivyo makala BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30
yaani makala yote BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/breaking-nyuzzzzz-scorpiona-ahukumiwa.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZZZ.....: SCORPIONA AHUKUMIWA KIFUNGO ZA MIAKA SABA JELA NA FAINI YA MIL. 30"
Post a Comment