Loading...

CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

Loading...
CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU
link : CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

soma pia


CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu (Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu.

CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu.

Wakati wa miaka kadhaa ya kuzindua mfumo huo wa leseni kwa vilabu ni wazi changamoto kubwa kwenye Bara la Africa imekuwa ni vigezo vya miundo mbinu ambayo kwenye baadhi ya viwanja vinavyotumika wakati wa mashindano imekuwa ikitoa taswira isiyo nzuri kwa mashindano ya CAF.

Kwa mwaka huu 2018 wameandaa ukaguzi kutembelea klabu zote zitakazoshiriki hatua ya makundi kwenye mashindano ya vilabu ya CAF wakijielekeza kwenye kiwango na ubora wa viwanja vya kucheza mechi na viwanja walivyochagua kwa mazoezi.

Caf watachagua kundi la wakaguzi watakaotembelea kwenye klabu za kila mwanachama wake ili kukusanya ripoti itakayowasilishwa na moja kati ya ripoti hiyo ni miundo mbinu ya Uwanja,ripoti itakayothibitisha kama uwanja umefikia kwenye mahitaji ya juu ya kutumika kwa mechi za CAF.

Viwanja ambavyo havitakidhi mahitaji hayo ya juu hautaidhinishwa kutumika kwa mashindano na hautatumika kwa mchezo wowote wa hatua hiyo ya makundi kwa mashindano ya klabu kwa mwaka huu 2018.


Hivyo makala CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU

yaani makala yote CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/caf-yaja-tanzania-ukaguzi-mfumo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CAF YAJA TANZANIA UKAGUZI MFUMO WA LESENI KWA VILABU"

Post a Comment

Loading...