Loading...
title : DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC
link : DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC
DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa katika mazungumzo na Bw. Domitry Titov, Kiongozi wa Timu ya Umoja wa Mataifa inayochunguza mauaji ya askari wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguza mauaji ya askari wa kulinda amani nchini DRC wakifuatilia mazungumzo.
Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ukifuatilia mazungumzo hayo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy na Msemaji wa Wizara na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi Kasiga.
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakinukuu mambo muhimu ya mazungumzo.
Wajumbe wa pande mbili wakiwa katika mazungumzo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga mstari wa mbele katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguza mauaji ya askari wa kulinda amani nchini DRC na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC
yaani makala yote DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dkt-mahiga-akutana-na-timu-ya.html
0 Response to "DKT. MAHIGA AKUTANA NA TIMU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA ASKARI NCHINI DRC"
Post a Comment